LEO NINAANZA NA KAZI YA KUWAFUNDISHA WATOTO WAKIWA NA UMRI MDOGO
Ili tuwe na maendeleo kama ya Michezo au wataalamu wowote ni lazima tuanza na watoto,ukisema vijana basi tunakuwa tumeruka hatua moja mbele ni kuirudisha ni kuzalisha jamii inayopinda pinda pasipo kufuata mpangilio maalum.
Ukiangalia jamii inavyokuwa na matatizo ni kuwasahau watoto kwa kusema hawajui lolote,kutokana na kuwa na mfumo wa kuwaweka watoto wetu bado ni wadogo hawajui lolote,hata chakula tunaanza kula wakubwa kwa NYAMA kama vipo vipande kumi basi Baba au Mama atakula hata vipande Saba.
Muhimu ni vizuri kuwa na utaratibu wa kuwaandaa watoto kwa kila kitu kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu.
TOSAMAWE.

No comments:
Post a Comment