Sikubaliani na kifo cha CCM ila nitakubaliana na vifo vya upinzani.
-CCM ina mtandao mkubwa nchi nzima
-Upinzani upo Mjini na Wilayani.
-CCM wana Nidhamu ya hali ya juu.
-Upinzani hawana Nidhamu.
KUBWA NA BAYA ZAIDI upinzani hawana wanachama imara.
Ninapenda kusema haya.
No comments:
Post a Comment