Baada ya kuchaguliwa kuwa Waziri mkuu wa kwanza Mwanamke Uingerza mwaka 1979 katika ofisi ya Nyumba namba 10 alipata nafasi ya kuongea na Wanahabari mbalimbali nje ya Ofisi yake.
Alipinga harakati za ANC za kutumia nguvu lakini mwisho wake walikubali na kuwatambua ANC mwisho wake wakasaidia mpaka Mandera kutolewa gerezani mwaka 1990 na kutembelea Uingereza Nelson Mandera.
Akiwa mshirika wake Mkuu Rais wa Marekani enzi hizo R.Reagan wakiangalia gwaride la heshima.
Yeye ndiye alikuwa Jemedari mkuu wakati wa vita vya Farkland kati ya Uingereza na Arjentina mwaka 1979
Akiwa na wabunge wake walipomtembelea Malkia Elizabeth mwaka 1985.
Alipotembelea Zambia mwaka 1988 akicheza muziki na Rais K.Kaunda enzi hizo.
No comments:
Post a Comment