Huyu ni Mtemi wetu Mkwawa akiwa katika vazi lake lake la Utemi na apo chini ni familia ya Malkia nao ni watemi wakiwa katika mavazi yao kama vile Mtemi wetu Mkwawa.We wanatumia nguo za jeshi kama mwendelezo wa Utemi.
Mkwawa kashika mkuki na wanafamilia wa Malkia wameshika Vipanga vinavyotumiwa na maofisa wa jeshi.
No comments:
Post a Comment