KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday, 17 June 2012

TASWIRA ZA MATUKIO YA MKUTANO WA EUROPEAN LEADERSHIP AND HUMAN RIGHTS:PROTECTION OF THE UNEMPOWERED AND THE DISPOSSESSED,LONDON,15-17JUNE 2012

 Mshiriki kutoka Tanzania Alistidia Rugaitika akiwa katika mkutano wa European Leadership and Human rights:Protection of the Unempowered and the Dispossessed uliomalizika jioni hii jijini London  katika jumba la Bunge la Uingereza.
Mshiriki kutoka Tanzania katikati akiwa na mshiriki kutoka Uganda kulia Mr Amone na msemaji kwenye huo mkutano Mr Keith Best ambaye ni Chief Executive,Freedom From Torture UK
 Baadhi ya washiriki wengine walioshiriki kwenye mkutano huo,kutoka kushoto mshiriki kutoka Cameroon ambaye pia ni mwandishi wa habari,Tosamawe kutoka Tanzania,Mr Amone toka Uganda na mshiriki kutoka Rwanda
Mshiriki Alistidia kutoka Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Dr Antonio Stango(The Secretary General of the Human Rights Italy and a UPF Global Peace Council Member).
Kutoka kulia ni mshiriki Tosamawe,Alistidia na Mr Ingo Dammann kutoka Ujerumani ambaye ni  coodinator of youth for human rights  na shirika lake linaitwa kwa Kijerumani Jugend fur Menschenrechte Berlin.

TASWIRA ZA MATUKIO YA MKUTANO WA EUROPEAN LEADERSHIP AND HUMAN RIGHTS LONDON,15-17JUNE 2012


Wawakilishi kutoka pande za Afrika wa kwanza mwenye gauni la maua maua ni kutoka Cameroon mwandishi wa habari,Alistidia kutoka Tanzania,Mr Amone kutoka Uganda wa mwisho ni kutoka Rwanda.

Mkutano ukiendelea

Baadhi ya washiriki wakisikiliza ajenda za mkutano kutoka pande zote za dunia.

MANDHARI NZURI YA JUMBA LA BUNGE UINGEREZA,KAZI NA UBUNIFU WA WASANII

TOSAMAWE NA MWENZI WANGU TULIPOWAKILISHA NCHI YETU KWENYE MKUTANO EUROPEAN LEADERSHIP AND HUMAN RIGHTS : PROTECTION OF THE UNEMPOWERED AND THE DISPOSSESSED KWENYE JUMBA LA BUNGE UINGEREZA

Waheshimiwa wakingojea kukuruhusu ukiwa na Pass tu kuingia ndani ya jumba la Bunge la Uingereza. 

Kazi ya kuingia House of Parliament ilianzia hapa ni Alistidia akiingia kwenye viwanja vya Bunge tayari Ukaguzi wa Polisi na hapo chini ni Tosamawe nikitafakari yaani kuchoka kusimama kungojea foleni ya ukaguzi.
Ndani ukaguzi ni mkubwa zaidi ya Uwanja wa Ndege,unavua mpaka koti,Bag yangu ilichukuliwa na kupimwa kama kuna harufu ya Bomu,ilo ndio jengo la Bunge la Uingereza kuingia ndani.Yote ni ulinzi

Foleni ya Ukaguzi,tulikuwa watu kama mia mbili ,mimi nilichoka kabla kuingia,lakini yote ni usalama.

Saturday, 16 June 2012

TOSAMAWE NINASHIRIKI MKUTANO WA EUROPEAN LEADERSHIP CONFERENCE -Human Rights;Protection of the Unempowered and the Dispossessed~London,United Kingdom 15- 17 June 2012 katika Jumba la Bunge la Uingereza.TOSAMAWE NA MKE WANGU TUNAWAKILISHA kwa kuwaelezea tunahitaji kuwajengea Watoto uwezo wa kuja kuwa jamii nzuri kwa maisha yao ya baadaye.MATUKIO YOTE NITAWALETEA BAADAYE



Watoto wetu wanahitaji kupendwa na kitu muhimu zaidi ni kufuata HAKI ZA BINADAMU.Tosamawe na Mke wangu tumewakilisha maoni yetu katika mkutano huu wa LONDON.Tupo na watu wa mataifa yote duniani na wale wenzetu wa Nchi zilizoendelea tumeonana na kuzungumza,kinachofuata ni utekelezaji Mungu tubaliki ili tuweze kufanya kazi kwa ajili ya wananchi wetu wote.
Mungu wetu ametupa nguvu ya kufanya kazi ya kusaidia jamii,tunasaidia kituo kimoja cha watoto Yatima Bukoba kinaitwa Kashai na mategemeo yetu ni kuendelea kuwasaidia wasiojiweza.



Sunday, 10 June 2012

JE WAJUA SIRI YA VAZI LA KICHIFU LA WAHEHE LILIKOTOKA.


Vazi hili linalovaliwa na Wahehe asili yake ni Waarabu,Chifu Mkwawa alikuwa na urafiki mkubwa na Waarabu kwa ajili ya biashara.
Chifu Mkwawa alifundishwa kiarabu na alikuwa anaandika Kiarabu ukitembelea Makumbusho ya Kalenga kwenye Ikulu iliyokuwa ya Mkwawa utaikuta barua aliyoandika Mkwawa kwa Wajerumani ya kuwazuia Machifu wengine wasiingie katika maeneo yake.  

Wednesday, 6 June 2012

PICHA YA KUCHORWA YA MTEMI MKWAWA


Huyu ni Mtemi wetu Mkwawa akiwa katika vazi lake lake la Utemi na apo chini ni familia ya Malkia nao ni watemi wakiwa katika mavazi yao kama vile Mtemi wetu Mkwawa.We wanatumia nguo za jeshi kama mwendelezo wa Utemi.
Mkwawa kashika mkuki na wanafamilia wa Malkia wameshika Vipanga vinavyotumiwa na maofisa wa jeshi. 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS