Saturday, 9 November 2024
Thursday, 27 July 2023
DEBATE YA BANDARI-ANGALIZO KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA TV NA RADIO KWA PAMOJA ZINATAKIWA KUWEKA DEBATE ILI WANANCHI WASIKIE SIO KILA MTU AONGEE KIVYAKE
Ikiwa mimi ni mzalendo ninaomba tuwe na Debate ya mkataba wa DP world na Sreikali yetu
Sisi wananchi tunakosa habari nzuri HII NI KAZI YA TV NA RADIO KUWEKA DEBATE KWA WALE WOTE WAHUSIKA WA SERIKALI NA WANAOPINGA KILA MTU AJE NA HOJA ZAKE
Nchi yetu inahitaji malumbano ya hoja ili kuwa sawa na matatizo ya mikataba ya kijinga inayoingizwa kama ya Wakolni na Chifu wetu Mangungo.
VYOMBO VYA HABARI MUWE WABUNIFU WA KUTULETEA HABARI SIO HABARI ZA MFUGA PAKA NA MAFISI
KAZI KWENU WANA HABARI KUTUSAIDIA SISI WANANCHI SIO VYAMA VYA SIASA VINAVYOKANUSHA HABARI KILOA SIKU
BANDARI YETU NA DP NA HUJUMA ZA KUPATA KITU KIDOGO RUSHWA KWA WATENDAJI WA BANDARI NDIO CHANZO CHA KUPATA MIKATABA MIBOVU
Nchi yetu na watu wetu yaani wafanyakazi wa Bandari wao ndio chanzo cha matatizo yote yanayotuua na kukosesha mapato ya Serrikali.
Nchi yetu viongozi kama Waziri Mkuu huyo ndio Mkuu wa serikali lakini hakuna cha muhimum tunaweza kujivunia kutoka kwa Waziri mkuu.
Watu wanafahamu utendaji wa Waziri Mkuu anaongea lakini hakuna utendaji wa kina .wafanyabiahara Kariakoo kugoma na matatizo mengi Waziri wetu mkuu aliyatolea maelezo lakini yameenda na maji.Kazi ya Waziri wetu mkuu ilikuwa ni kufuatilia kwa ndani masuala muhimu lakini ndio tabia zetu hakuna shida mpaka Bandari inazidiwa na Wakenya ili mradi wale viongozi wahusika wa Bandari kupata nafasi ya kupata pesa zao mfukoni na kuua Bandari yetu wakati viongozi wetu wapo kimya.
Awepo DP ila mkataba urudiwe na kubadilishwa vipengele vingi ili tuwe na nafasi ya kuimiliki Bandari yetu
Asanteni
Thursday, 15 June 2023
MKATABA WA DP NA BANDARI ZA TANZANIA -MALAMIKO NA WABUNGE WALIVYOPITISHA BADO KUNA MASWALI MENGI LAKINI WANASEMA MACHOZI YA SAMAKI YAMEENDA NA MAJI
TUNAAMINI VIONGOZI WETU WANAWEZA KUKUBALI NA KUTIA SAHINI MIKATABA AMBAYO TUNAKIZINGIZIO CHA WAWEKEZAJI WANA NIA NJEMA LAKINI WAO WANANIA YA FAIDA KAMA TULIVYOONA KWENYE DHAHABU
Neno moja kwangu ni kwamba HAKUNA DUNIANI MTU ANAENDELEA KWA NCHI KWA KUWA NA WAWEKEZAJI KWANI WAWEKEZAJI WAKIKUTA SERIKALI DHAIFU WANANTUMIA HIYO NAFASI
TUNAPOTOA MIFANO KAMA DP WAPO UINGEREZA SIO SAWA NA SISI WAKULIMA KULE WANAWEZA WAKAMTOA MBUNGE AU WAZIRI MKUU SASA SISI HATUNA HUO UTARATIBU
SINA ZAIDI NAOMBA TUWE WATULIVU NA WACHACHE WAENDELEE KUFAUDI
DP IN DJIBOUTI-LONDON COURT RULES AGAINSTIN DISPUTE WITH DP WORLD OVER PORT CONCESSION RIGHT
London Court rules against Djibouti in dispute with DP World over port concession rights
Djibouti’s Port Company wrongfully tried to terminate the joint venture agreement and transfer its shares to the state, the London Court of International Arbitration has ruled
FILE PHOTO: A Djibouti policeman stands guard during the opening ceremony of Dubai-based port operator DP World's Doraleh container terminal in Djibouti port February 7, 2009. REUTERS/Ahmed Jadallah/File Photo
Authorities in Djibouti in February 2018 abruptly cancelled DP World’s contract to run the terminal and seized its facilities, which the port operator had designed, built and operated. Reuters
Deena Kamel author image
Deena Kamel
Jul 12, 2021
Listen In English
Listen in Arabic
Powered by automated translation
A London court has ruled against Djibouti in a longstanding legal battle with DP World, one of the world’s largest port operators, over port concession rights.
An Arbitral Tribunal of the London Court of International Arbitration has ruled against Djibouti’s port company, the Port de Djibouti (PDSA), in its dispute with DP World over the concession to operate the Doraleh Container Terminal, according to a statement by the Dubai government media office on Monday.
"The tribunal has now ruled that PDSA breached the joint venture agreement by wrongfully attempting to terminate it, and by engaging in the attempted transfer of its shares to the government," the statement said. "The tribunal ruled that the joint venture agreement was not terminated and remains in full force and effect."
The ruling found that PDSA remains a shareholder in the joint venture and its attempted transfer of its shares to the government had no effect, according to the statement.
The arbitration will now proceed to a second phase to decide the damages owed by PDSA to DP World.
PDSA has also been ordered to reimburse DP World’s legal costs, which amounted to £1.7 million (Dh8.65 billion).
READ MORE
DP World and Somaliland open new terminal at Berbera port
DP World and Djibouti have been locked in a dispute since 2012 over the Dubai-based company’s concession to operate the Doraleh Container Terminal, which is located in the Horn of Africa along major trade routes in the Red Sea. In 2018, Djibouti seized the terminal from state-owned DP World.
The court had previously ruled that DP World’s concession to operate the terminal is legal and binding and ordered it be restored.
The government of Djibouti has yet to comply with these rulings and remains in breach of its international obligations, the statement said.
DP World will continue to pursue "all legal means" to defend its rights as shareholder and concessionaire in the Doraleh Container Terminal in the face of the Djibouti government’s "blatant disregard for the rule of law and respect for binding commercial contracts", the statement added. The Djibouti government has not yet made any offer of compensation in an effort to negotiate a settlement to the dispute.
The ongoing legal battle with Djibouti has not deterred DP World from expanding its footprint in Africa, a major growth market for the ports operator.
DP World grew its presence significantly across the African continent in recent years with investments in seaports, terminals and logistics services as it seeks to tap into lucrative trade routes in the region. Its existing investments in Africa include projects in Egypt, Algeria, Rwanda, Somaliland, Mozambique and Senegal, according to the company's website.
Last week, DP World said it plans to buy South Africa's Imperial Logistics for $890m, further strengthening its footprint in the world's second largest continent
Friday, 2 December 2022
Monday, 7 November 2022
NDEGE INAPOANGUKA NI LAZIMA UCHUNGUZI UFANYIKE WA KINA ILI KUONDOA WASIWASI KWA NCHI ZINGINE KUAMINI TUPO VIZURI KWENYE SUALA LA USAFIRI WA ANGA.NA HABARI KUBWA DUNIA YOTE NI AJALI YA NDEGE ZIWA VICTORIA TANZANIA YAUA WATU 19,SWALI TANGIA JANA MPAKA SASA WATAALAMU WANANWEZA KUTUPA CHANZO CHA AJALI IKIWA NI TATIZO LA KIUFUNDI KWENYE NDEGE AU WAONGOZA NDEGE UWANJANI KWA MAANA HALI YA HEWA ILIKUWAJE JE WALISHINDWA KUMRUDISHA RUBANI ARUDI ALIKOTOKA AU AENDE MWANZA TUNAHITAJI MAJIBU NA WAHUSIKA WAKAMATWE WALIOSABABISHA AJALI
Tukiwa kwenye Ndege uwa tunamkabidhi Mungu uhai wetu na uwa tunawategemea wanaotuongoza kusafiri ikiwa ni Rubani na waongoza ndege wa liopo Uwanjani kwenye hali ya hewa.Swali linakuja je kama mmowapo muongoza ndege wa chini akitoa taarifa za uongo au alilewa nini kitatokea au hali ya hewa ikiwa ilirekodiwa vibaya nini kitatokea nfahamu ni Ajali
Niliwahi kutembelea Kituo cha hali ya hewa pale uwanja wa ndege Dar es salaam na kukutana na wanavyofanya kazi na kuwauliza maswali na wakaniambia wanakuwa makini sana wakati KLM inapokuja kwa sababu Marubani wanawauliza maswali mengi ili wawe na uahakika wa kutua salama.
Sasa sisi watu wa Precision Air tunayajua hayo au Waziri wetu Mkuu anayafahamu hayo.
Embu Wananchi tujue chanzo cha ajali sio hali ya hewa ilikuwa mbaya na hizi sallamu zimfukie Mkuu wa Mkoa Bwana Chalamila afuatilie ili skata na kujua ni ni kwa kuwauliza wale waongoza ndege uwanjani pale.
Nategemea tutapata ufumbuzi wa kuzuia tena ajali zisitokee
AJALI YA NDEGE TANZANIA ZIWA VICTORIA -YAHITAJI UCHUNGUZI WA HALI YA JUU ILI KUZUIA TENA AJALI HIZO ZISITOKEE KWA WANANCHI WENGI WANANOTUMIA USAFIRI WA ANGA
Ninapenda kutoa salamu za rambirambi kwa Rais wetu na wananchi wote kwa Ujumla,Nikiwa niliwahi kusafiri na ndege ya shirika hilo mara mbili na familia yangu kwa kweli tunapoa pole kwa wafiwa na Mungu hawape nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.
NINA SWALI KUBWA KUHUSIANA NA HII AJALI
KWANZA KWA WAZIRI WETU MKUU NA SERIKALI
Ninmeona na kusikia Waziri mkuu akisema ndege ilivyoanguka ni kwamba anafahamu kwamba uelekeo wa ndege sio ule unaotumika kama kawaida kwa hiyo kuna makosa Sasa je Waziri mkuu kwa kutumia madaraka yake ameweza kuweka Wachunguzi wachunguze ajali kwa nini imetokea na hali ya hewa ilikuwa mbaya je hao watu wanaongoza Ndege wa kiwanjani walimruhusu Rubani kushuka chini na wakati hali ya hewa ilikuwa mbaya Au je ilikuwa ni matatizo ya Ufundi kwenye ndege kwa mantiki hiyo tulitakiwa kuona hao wahusika wote wanahisaidia Polisi kwa Uchunguzi
Naomba tupewe maelezo zaidi ili waliokosea wapewe Adhabu yao kuanzia Shirika la Ndege waongoza ndege uwanjani sio kusikitika na kesho tena tukawa na Ajali ya Kizembe tena
Thursday, 20 October 2022
WAZIRI MKUU ALIYEJIUZULU BORIS JOHNSON ANAITAJIKA AWEZE KUREJEA KWENYE SERIKALI AMBAPO ALIJIUZULU KUTOKANA NA KASHFA YA KUKIUKA SHERIA ZA COVID
Boris Johnson antajwa kuwa mmoja wapo kugombea nafasi ya Uwaziri mkuu tena akiwa na kura nyingi zilizopigwa kwenye mtandao wa serikali ya Uingereza
WAZIRI MKUU ALIYETAWALA UINGEREZA KWA SIKU 44 AJIUZULU UWAZIRI MKUU BAADA YA KUPUNGUZA KODI ILIYOPELEKEA UINGEREZA FEDHA YAKE KUPOROMOKA ANAITWA LIZ TRUSS
Waziri Mkuu aliyetawala nchi kwa muda mfupi sana Liz Truss wa Uingereza amejiuzulu baada ya kuleta sera zilizoendeleza Wawekezaji kukuimbia Nchi na kusababisha pesa ya Uingereza kushuka.Tatizo la Uingereza ni kwamba ukikosea wwew ni kuondoka sio kuwepo tena kwenye serikali.
Hii ni funzo kwa nchi zetu za dunia ya Tatu ambazo Waziri wananharibu nchi lakini bado tunaendelea kumwachia kazi aendelee na bado wananchi wanaumia na hakuna jipya linaloendelea
Thursday, 6 October 2022
Subscribe to:
Posts (Atom)