Thursday, 27 July 2023
DEBATE YA BANDARI-ANGALIZO KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA TV NA RADIO KWA PAMOJA ZINATAKIWA KUWEKA DEBATE ILI WANANCHI WASIKIE SIO KILA MTU AONGEE KIVYAKE
Ikiwa mimi ni mzalendo ninaomba tuwe na Debate ya mkataba wa DP world na Sreikali yetu
Sisi wananchi tunakosa habari nzuri HII NI KAZI YA TV NA RADIO KUWEKA DEBATE KWA WALE WOTE WAHUSIKA WA SERIKALI NA WANAOPINGA KILA MTU AJE NA HOJA ZAKE
Nchi yetu inahitaji malumbano ya hoja ili kuwa sawa na matatizo ya mikataba ya kijinga inayoingizwa kama ya Wakolni na Chifu wetu Mangungo.
VYOMBO VYA HABARI MUWE WABUNIFU WA KUTULETEA HABARI SIO HABARI ZA MFUGA PAKA NA MAFISI
KAZI KWENU WANA HABARI KUTUSAIDIA SISI WANANCHI SIO VYAMA VYA SIASA VINAVYOKANUSHA HABARI KILOA SIKU
BANDARI YETU NA DP NA HUJUMA ZA KUPATA KITU KIDOGO RUSHWA KWA WATENDAJI WA BANDARI NDIO CHANZO CHA KUPATA MIKATABA MIBOVU
Nchi yetu na watu wetu yaani wafanyakazi wa Bandari wao ndio chanzo cha matatizo yote yanayotuua na kukosesha mapato ya Serrikali.
Nchi yetu viongozi kama Waziri Mkuu huyo ndio Mkuu wa serikali lakini hakuna cha muhimum tunaweza kujivunia kutoka kwa Waziri mkuu.
Watu wanafahamu utendaji wa Waziri Mkuu anaongea lakini hakuna utendaji wa kina .wafanyabiahara Kariakoo kugoma na matatizo mengi Waziri wetu mkuu aliyatolea maelezo lakini yameenda na maji.Kazi ya Waziri wetu mkuu ilikuwa ni kufuatilia kwa ndani masuala muhimu lakini ndio tabia zetu hakuna shida mpaka Bandari inazidiwa na Wakenya ili mradi wale viongozi wahusika wa Bandari kupata nafasi ya kupata pesa zao mfukoni na kuua Bandari yetu wakati viongozi wetu wapo kimya.
Awepo DP ila mkataba urudiwe na kubadilishwa vipengele vingi ili tuwe na nafasi ya kuimiliki Bandari yetu
Asanteni
Subscribe to:
Posts (Atom)