Tuesday, 4 January 2022
UPINZANI TANZANIA BADO HAUNA TIJA KWA WANANCHI-MFANO MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI KUMSIFIA SPIKA KAONGEA VEMA NI KOSA KWA UPINZANI KUMTETEA MTU ALIYEONGELEA MAMBO MAGUMU KWA NCHI SEHEMU HISIYO MAALUM WAKATI YEYE NI SPIKA ANA MAMLAKA YA KUONGEALEA BUNGENI
Leo ngoja tuongelee Upinzani husio kuwa makini na Maslahi ya wananchi
Mwenyekiti Mbatia kuongea mbele ya umma kwa kusema Mh Spika kafanya vizuri kuongea nchi inakopa sana hiyo sio siasa ya vyama vingi na ni kosa kwa kiongozi kama Mbatia kusema hayo.Rais kaongea vema kuliko Mwenyekiti Mbatia
Sasa Tuanze na makosa mengi yanayofanywa na Upinzani ikiwepo suala la kuwaeleza Wananchi ni jinsi gani Serikali iliyopo madarakani inavyotumia pesa za umma na matumizi makubwa ya pesa za serikali.
Kuwa na viongozi kama Wakuu wa Mikoa Wakuu wa Wilaya ambao hawahitajiki kwenye uongozi maana tuna Mameya na tuna wakurugenzi leo hii Mwenyekiti Mbatia anamsifia Spika kaongea vema.
Upinzani hauongeleei Uchumi kwa nini wafanyakaz hawapandishwi mishahara miaka sita sasa na kwa nini huduma za Afya zipo duni na Elimu ipo hivyo hivyo wao kama Upinzani watafanya nini ili kuwapa wananchi maisha bora sio wangjee kampeni na kuongea kuhusu Spika hasiye kuwa na uwezo wa kuongoza wabunge.
Wananchi wanahitaji Elimu nzuri ya matumiziya pesa zao za kodi nani anawasemea ni upinzani lakini upinzani wetu hawana habari ya Uchumi wetu na matumizi ya serikali.
Ukija kwenye Afya hospital zetu zipokwenye hali duni ya kukosa vifaa tuna majengo na vifaa hakuna na serikali ya CCM wanajisifia wapo vizuri kwenye huduma za Hospital nyingi za mikoani hawana mashine ya CT Scanner kwa kutumia kupiga picha za ndani ya mwili X ray upinzani hawana habari.Je nani atawasemea wananchi ni upinzani kuwaelezea wananchi nao wafahamu ili waweze kuwachagua.
Wapinzani kutumia Ruzuku kwa kutokuendeleza chama mfano kuna vyama vilikuwa na wabunge wengi na Ruzuku kubwa lakini hata kujenga ofisi ya Chama hawana sasa imani kwa wannachi itatoka wapi.
Upinzani Tanzania ni lazima kubadilika sasa na kuwaelimisha wananchi kila leo kuhusu serikali ilikwama na wao watafanya nini
Kazi kwenu Upinzani kama unataka kuongoza nchi.
HIVI VIKATUNI VYA MH SPIKA NI MUHIMU KWA MH SPIKA KUACHIA NGAZI INGAWAJE KATUBU NA KUOMBA MSAMAHA MUHIMU BILA KUSEMEWA NA KULINDA HESHIMA YAKE SPIKA INABIDI USPIKA
Siasa zetu zimejawa na watu wasikuwa na weledi wa kutambua mazuri na mabaya wanapozungumza ambalo ni kosa kubwa saa katika Uongozi wetu
viongozi wengi wanaongoza kwa kujiamini na kuwa na maamuzi yasiyofaa kwa sababu ni kiongozi
Tuwe makini na viongozi wetu na tuwe na uwezo wa kuwaambia viongozi wetu hachia uongozi utufai ili tuwe na nidhamu ya uongozi.
CCM TANZANIA WANACHAMA NA WABUNGE KWA UJUMLA MUONDOENI HARAKA SPIKA WA BUNGE MH JOB NDUGAI KWA HESHIMA YA BUNGE KWANI WANANCHI KWA UJUMLA WAMEMSIKIA RAIS AKISEMA MTU ALIYEMWAMINI NA KUWA KIONGOZI WA WABUNGE,KWA KULINDA HESHIMA YA CCM NA WABUNGE NA WANACHAMA WOTE WA CCM NA WANANCHI KWA UJUMLA KWA NINI ASIONDELEWE MH SPIKA KAMA YEYE ASIPOJIUZUU
KUTOKANA NA MANENO ALIYEYATOA rAIS MAMA SAMIA NDUGAI ANGEKUWA AMEISHA ANDIKA BARUA YA KUJIUZULU
kIPINDI CHA MWALIMU NYERERE KESHO WANANCHI WANGEANDAMANA KUMUUNGA MKONO RAIS NA KUMWOMBA AMFUTE KAZI SPIKA JOB NDUGAI
Matatizo ya Spika Job Ndugai ni mengi na hafai kuwaongoza wabunge hana sifa za kuwa Spika ambaye ni mkuu wa Mhimili wa bunge la Tanzania ni haibu kuwa na kiongozi kama huyo mkuu bungeni.
Ni Spika aliwapiga watu kwa fimbo wakati wa kampeni
Ni Spika huyu huyu alimsema Yesu
Ni Sika huyu huyu alisema yeye ana faili Milembe
Sasa wakati umefika kumtoa au Yeye Spika aachie madaraka kwa heshima ya CCM na wabunge wote
Kazi kwa CCM vijana wameisha sema sas ni utekelezaji wa vitendo ili iwe fundisho kwa watu viongozi wengine
RAIS SAMIA LEO AHUTUBIA WANANCHI KERO ZA SPIKA WABUNGE ZIMEMWEKA KUWA MTU ALIYEMWAMINI NDIYE MUONGEAJI OVYO
Sakata la Spika wa Bunge la Tanzania lilnalosemwa alina meno linazidi kujionyesha baada ya Spika Job Ndugai kuelezea matatizo ya kukopa huku akimuelekezea Rais Samia anakopa na kuingiza nchi kwenye madeni.
Job Spika aliongea ukweli lakini aliongelea sehemu hisiyo takia ilitakiwa azungumzie Bungeni kwenye vikao vyao,kutokana na hilo Job Spika anatakiwa kujiuzulu kwa manufaa ya nchi kwani hatuna imani naye kama Rais kamsema adharani kwa wananchi wote ni aibu kuwaongoza Wabunge huku akiwa hana kasoro nyingi kiongozi.
\Spika jiuzulu kwa heshima yako uwe kama Wahehe hawapendi kusemwa na mtu mzima
Subscribe to:
Posts (Atom)