Wednesday, 23 December 2020
CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NI SHEREHE KUBWA KWA NCHI ZA MANGARIBI NCHI ZA UCHUMI WA JUU KWA WANANCHI WAKE KUTUMIA MUDA MWINGI KUHIFADHI PESA KWA AJILI YA SHEREHE HIZO.KWA SASA GONJWA LA CORONA LIMEHARIBU KILA KITU MIGAHAWA IMEFUNGWA NI KUNUNUA VYAKULA NA KWENDA NAVYO KWAKO SIO KUKAA NA KULA HOTELINI
Kwa wenzetu Krismas ni sherehe kubwa na muhimu sana kutokana na gonjwa la Corona mataifa mengi yamezuia mikusanyiko mingi lakini watu bado wanapinga na serikali kutokana na wataalamu wa sayansi wanasema kuzuia watu wasikutane ni kupunguza maambukizi.Tumuombe Mungu atuepushe na huu mlipuko wa pili wa Corona inasemekana ni hatari na rahisi kuambukiza kuliko ule wa mwezi wa Tatu.
CORONA INAVYOSUMBUA UINGEREZA WAMEGUNDUA AINA MPYA YA CORONA AMBAYO NI RAHISI KUAMBUKIZA.WAMETUMIA TIER 4 KWA BAADHI YA MIJI NA SASA WANATAKA KUWEKA TIER 4 KWA NCHI NZIMA MUNGU TUNUSURU NA GONJWA HILI AMBALO LINAAMBUKIZWA KWA HARAKA
Sherehe za Krismas zimeingia doa kwa watu wengi kutegemea kuwatembelea ndugu zao na zawadi za Krismas sasa ni Corona ikifuatiwa na kufungiwa kwa wananchi nchi nzima ya Uingereza ifikapo Boxing day.
Tuesday, 1 December 2020
CHADEMA NA SINEMA ZA SIASA YA VYAMA VINGI TUENDAKO CHADEMA WAWE MAKINI NA MBINU ZA KISIASA
Halima Mdee azungumza kwa vijembe kwa wanachama Wanawake waliongelea kufurahia kuvutwa Uanachama na kamati kuu ya chama Vijembe sio jibu la suala lao ni muhimu kuongelea zaidi kutaka kuwa na kikao cha majadliano
Saturday, 28 November 2020
Wednesday, 25 November 2020
MARADONA SIFA ZAKE NA MATATIZO YAKE
Maradona mchezaji aliyekuwa na uwezo mkubwa wa kucheza,mwenye hasira,mtumiaji madawa ya kulevya.Ameacha historia kubwa kwenye medani ya mpira wa miguu.
Waingereza hawatamsahau Maradona kwa kuwafunga goli la mkono.
DIEGO MARADONA AFARIKI ARGENTINA YATANGAZA MAOMBELEZO YA SIKU TATU.Maradona kuzikwa kwenye Enron la makumbusho ya Taifa yanaitwaCASA ROSADA yalijengwa meaka 1580
Maradona baada ya kupasuliwa kichwa na kutoa damu iliyoganda kwenye ubongo,Maradona aliruhusiwa hospital lakini ndani ya wiki mbili umauti umemkuta.Mungu amlaze pema peponi Amina.
Monday, 2 November 2020
LISSU NAYE AKAMATWA SASA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA WAKAMATWA KISA KUAMASISHA WANANCHI KUANDAMANA PASIPO KIBALI.SASA KAZI YA KUWAWEKA NDANI WAPINZANI IMEANZA TUNGOJEE MENGI YATATOKEA
Tundu Lissu kamatwa akitokea katika ofisi za Jumuia ya Ulaya na baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwa kikaoni Freeman Mbowe na Godbless Lema walikamatwa na baadhi ya wafuasi 30 wa Chadema wawekwa ndani polisi kwa uchunguzi.
TANZANIA SABABU ZILIZOSABABISHA UPINZANI KUSHINDWA KWA KISHINDO NI KAMA HIZI ZA KUSUSIA BUNGE KWA KUFIKILI WANANCHI WANAPENDA AU WANAWAUNGA MKONO.UPINZANI KUTUMIA STAILI ZA NCHI ZILIZOENDELEA WAKATI WATANZANIA BADO HAWANA ELIMU KUBWA YA UPINZANI.
Upinzani kutokuwa na ujuzi wa kujua wananchi wanataka nini?mfano Chadema walikuwa na tatizo la baadhi ya wabunge kutoa malalamiko kwamba chama chao kiliwakata pesa kwa ajili ya kuendesha chama ile kashfa ilikzimwa na kuelezwa na msemaji wa chama lakini kwa muda mrefu huku wananchi hawajui kinachoendelea
Tukirudi kwa wenzetu wa Zanzibar wao walifukuzwa Bungeni kwa kufuata kauli ya Maalimu Seif hawakurudi tena mpaka uchaguzi huu kwa makosa hayo ni mojawapo ya sababu kubwa kushindwa kwa upinzani.
Kazi sasa ni upinzani kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao na sio kuandamana Watanzania ni Wajumbe hawataki taabu.
Friday, 30 October 2020
WATANZANIA HAWATAKI VYAMA VINGI KUTOKANA NA UTAWALA WAO KWENYE VYAMA MFANO CHADEMA RUZUKU WALIPATA LAKINI HATA OFISI KUJENGA MIKOANI HAKUNA
Chadema hawakujua nia ya Ccm kuwafutilia mbali upinzani waliongoza kukimbia Bungeni
Kususia vikao vya bunge kwa kufikilia wananchi wanawaelewa na kuwapenda
TUNDU LISSU ASHINDWA LICHA YA WANANCHI KUMPA IMANI ATASHINDA.WATANZANIA WALIO WENGI HAWAPENDI UPINZANI KWA KUONA KAMA WAO NI MAFISADI MAKUBWA
LISSU ukujifunza ya Mrema
Watanzania ni Wajumbe
Watanzania hawataki fujo zilizokuwa zinafanyika Bungeni
Watanzania wanataka unyekevu na mengine hawataki lugha chafu
Watanzania walio wengi hawaamini kama upinzani unaweza kuongoza nchi kwa kuuliza mbowe atakuwa waziri mkuu,Lema atakuwa Waziri wa Fedha
Watanzania walitaka kusikia Hoja za wabunge wa Chadema waliokimbia Chadema na kutoa matatizo ya Mwenyekiti Mbowe ilibakia kimya na wananchi kufikilia ni kweli chadema wanatumia madaraka vibaya
Sunday, 4 October 2020
LIGI KUU UINGEREZA LEO NI FEDHEA AU AIBU KWA TIMU KUBWA MAN U KIPIGO 6 KWA 1 NA LIVERPOOL 7 KWA 2
Manchester United yafungwa bila huruma 6 kwa 1 NA Tottenham name tariff zilizopo mitandaoni zinasema Oleg Gunnar Solskajaer Afukuzwa laziness.
Tuesday, 29 September 2020
Monday, 28 September 2020
TUNDU LISSU AKUTANA NA POLISI NYAMONGO MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA TUNDU LISSU AZIDI KUKUSANYA WATU WAPENDA KUMSIKILIZA KUTOKANA NA CCM KUWAZUIA KATIKA MIAKA MITANO BILA MIKUTANO SASA WAPO HURU KUMSIKILIZA BILA FIESTA
KAMPENI ZIKIWA ZIMETANDA KILA KONA YA NCHI LEO RAIS MAGUFULI YUPO IRINGA AWAOMBA KURA WATU WA IRINGA NA KUWAAMBIA NDIO MUDA WAO WA KUCHAGUA KUTOA UPINZANI
Rais akiwahutubia watu wa Iringa kwenye uwanja wa Samora Iringa mjini akiwasitizia wachague CCM ila waweze kuwatoa wapinzani yaani kwa tafsiri ya kawaida ni kuakikisha CCM wanashinda kwa kishindo ili kusiwepo na Upinzani jambo ilo sio nzuri na ndio maana Wabunge na madiwani walinunuliwa ili kuua upinzani.Katika maisha ya sasa upinzani ni muhimu kwa sababu ya Demokrasia.
Monday, 17 August 2020
Wednesday, 12 August 2020
Thursday, 6 August 2020
Wednesday, 29 July 2020
Monday, 27 July 2020
Subscribe to:
Posts (Atom)