Saturday, 20 September 2014
SCOTLAND WAZIRI MKUU ALEX SALMOND ABWAGA MANYANGA BAADA YA KUSHINDWA KWA UPANDA WA YES
Matokeo yakionyesha NO wameshinda
Akiutubia baada ya kushindwa Alex Salmond kwa huzuni na kutangaza kuachia madaraka ni pigo kwa chama chake cha SNP
Hakutegemea kama watashindwa lakini wataalamu wa mambo ya siasa waliisha sema itakuwa pigo kwa chama chake kwa sababu watu wataangalia tena kwa undani kwa uchaguzi ujao.
SCOTLAND ILIKUWA KAMA CCM NA CHADEMA NA CUF MASHABIKI WA YES WALIKUWA NA SURA ZA UJEURI LAKINI WA NO WALIKUWA WATULIVU
Waziri mkuuwa Scotland naye alionyesha kutowapenda watu wanaopiga kura za NO hapa alikuwa anaonyesha hapendi
Washabiki wa YES wakimzomea Shabiki wa NO ilikuwa ni vituko lakini mwisho wake NO walishinda.
Mashabiki wa YES wakiwa hawana raha ni Vijana wa Miaka 16 na 17 waliopiga kura kwa mara ya kwanza inaonyesha hawana ujuzi wa kupiga kura na wapiga kelele mara nyingi uwa sio washindi.
Friday, 19 September 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)