Israel na Hamas Palestina hawatakuja patana labda ni kupumzika kwa muda na kujipanga upya kuanza mashambulizi tena hiyo ndio Vita zao hawa Watu hakuna wa kuwapatanisha mpaka mmoja asema nimeshinda vita lakini tunadai hiki na hiki.
Picha hii aliipiga msafiri na kuisafirisha katika mtandao wa Facebook baada ya masaa Mawili Ndege hii ilipigwa kwa kombora la SA11 na kubakia vipande vipande kama inavyoonekana hapo chini katika picha.