Saturday, 19 October 2013
MAGAZETI YET LEO
CHINA WAKITUSAIDIA KUJENGA RELI TUTAKUWA NA MAENDELEO YA USAFIRI.
MSHAHARA WA RAIS UNATISHA BADO ATALIPWA PENSION BADO ATATUNZWA MPAKA MWISHO WAKE NA MAWAZIRI WETU WAKUU,SHULE HAKUNA MADAWATI DU.
POLISI NDIO ZAO HAKUNA WASIWASI INASIKITISHA UNAPOENDA KUOMBA MSAADA WA KULINDWA NA MTU ANAYEKUTISHIA MAISHA WAKATI POLISI WOTE
MSHAHARA WA RAIS UNATISHA BADO ATALIPWA PENSION BADO ATATUNZWA MPAKA MWISHO WAKE NA MAWAZIRI WETU WAKUU,SHULE HAKUNA MADAWATI DU.
POLISI NDIO ZAO HAKUNA WASIWASI INASIKITISHA UNAPOENDA KUOMBA MSAADA WA KULINDWA NA MTU ANAYEKUTISHIA MAISHA WAKATI POLISI WOTE
AMEWAWEKA KIGANJANI.
Friday, 18 October 2013
MZEE MTEI ATETA KUHUSU MWALIMU NYERERE VIZURI,AELEZEA UKWELI WA MWALIMU NYERERE LAKINI LA KUSEMA LABDA NYERERE ANGEAMIA CHADEMA MMMM SIJUI.
Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha na Gavana wa Tanzania (BoT) na
baadaye mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin
Mtei ameeleza jinsi alivyokuwa karibu na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius
Nyerere hadi kupata kazi hiyo ya juu.
Zaidi, kwenye mahojiano maalumu, nyumbani kwake Tengeru, Arusha, Mtei anabashiri kuwa iwapo kiongozi huyo angekuwa hai hadi leo, bila shaka angeachama na chama chake alichokiasisi na kujiunga na Chadema. Endelea…
Swali: Umepata kufanya kazi na Mwalimu Julius Nyerere, hivi huyu alikuwa ni mtu wa aina gani?
Jibu: Nilimfahamu Mwalimu mwaka 1959 mwishoni niliporudi nyumbani nikitokea masomoni Makerere nchini Uganda
Zaidi, kwenye mahojiano maalumu, nyumbani kwake Tengeru, Arusha, Mtei anabashiri kuwa iwapo kiongozi huyo angekuwa hai hadi leo, bila shaka angeachama na chama chake alichokiasisi na kujiunga na Chadema. Endelea…
Swali: Umepata kufanya kazi na Mwalimu Julius Nyerere, hivi huyu alikuwa ni mtu wa aina gani?
Jibu: Nilimfahamu Mwalimu mwaka 1959 mwishoni niliporudi nyumbani nikitokea masomoni Makerere nchini Uganda
Thursday, 17 October 2013
KOCHA WA ENGLAND ROY HODGSONS ALIKUWA HANA RAHA KATIKA KIPINDI CHOTE BAADA YA KUANZA KUIFUNDISHA ENGLAND MAANA WAPENZI WA MPIRA WANATAKA USHINDI.
Kocha Roy Hodgsons kocha ambaye hakuwa na furaha wakati timu yake ya Taifa ya England ilipokuwa na nafasi finya ya kuingia kombe la dunia baada ya kutoka sare na Montenegro ambapo wachezaji wa zamani walimlaumu sana kocha wa timu hiyo kwa kuendesha isivyo timu hiyo.Bahati nzuri sasa kocha Roy analia kivulini hakuna matata.
Wednesday, 16 October 2013
UFUNGUZI WA WADI MPYA JIJINI IRINGA.MKE WA RAIS MAMA KIKWETE ALIFUNGUA WADI ILIYOJENGWA WA HISANI YA WANANCHI WA ITALIA.HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA ILIJENGWA PIA NA WAHISANI KUTOKA ITALIA.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akifungua rasmi jengo la wodi ya watoto
katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Hospitali hiyo inahudumia
pia wananchi wa Mkoa wa Njombe. Wengine katika picha hiyo (kulia kwenda
kushoto) ni Baba Askofu Tarciusius Ngalalekumtwa wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Iringa akifuatiwa na Balozi wa Italia hapa Tanzania
Mheshimiwa……..,Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Christine Ishengoma, Mama
Salma, Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali Mama Mofore na wa mwisho ni mmoja
wa wageni waliotoka nchini Italia.
MSIBA WA KIMATAIFA WAAMIAJI KUTOKA AFRIKA NA SYRIA WALIOKUWA NA NIA YA KUINGIA ULAYA KWA KUTUMIA NJIA YA BAHARI YA MEDITEREAN LAKINI SAFARI YAO ILIISHIA KUZAMA KWA BOTI YAO NA KUPELEKEA VIFO VYA MAMIA YA WATU
Papa naye alienda kuwapa pole wale waliopona katika janga hilo.Huu ni upendo ambao unafaa kwa kuwasaidia hawa Wahamiaji wanao kimbia vita,njaa na majanga mbalimbali.
Hii ni njia mojawapo ya kuwapenda na kuwaenzi Watoto kwa kuwawekea Tedd ina maana UPENDO kwa watoto.Watoto wanatakiwa kulindwa na kupendwa maana hawajui kinachofuata au kilichopita.
Haya ni masanduku yenye miili ya watoto waliofariki baada ya boti kuzama karibu na visiwa vya Sicilly Lempodusa yakiwa yamepambwa Teddy kuonyesha UPENDO kwa watoto wasio na hatia hawa KWELI INAUMA.
Tuesday, 15 October 2013
IRINGA MJI UNAOGEUKA JANGWA,WANANCHI WAKIWA KIMYA NA KUJISIFU IRINGA SASA JIJI,WANYARUKOLO TUNASIKITISHA SANA KWA KUTOKUJALI MAZINGIRA
Uwanja wa Samora ona jinsi ulivyokuwa jangwa hii ni sehemu ya kati ambapo wanachezea mpira kwa hiyo inaonyesha viongozi wetu wapo bila kufuatilia hali ilivyo na kutatua tatizo.Ninaanza na WABUNGE na kufuatia na SISI WANANCHI.
Ukitembelea uwanja wa Samora utaona vichekesho maana viti hakuna uwanja tangia mwaka 1977 ulipojengwa haujawahi kufanyiwa matengenezo kweli na pesa ipo ya WALIPA KODI ni AIBU kutokulisema hili ILA ni tabia yetu kuwaona Viongozi wetu ni Miungu Watu.
Saturday, 12 October 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)