Sunday, 26 May 2013
Saturday, 25 May 2013
UMOJA WA AFRIKA MAFANIKIO NA MATATIZO YA AFRIKA
UMOJA WA AFRIKA MAFANIKIO NA MATATIZO YA AFRIKA.
Nina machache tu ya kusema,Afrika tunamafanikio mengi lakini MATATIZO ni mengi ingawaje ukiwauliza MARAIS wetu watakuambia kwa Majigambo tunamafanikio mengi.
Kila jambo linauzuri wake na ubaya wake.
MATATIZO ni NJAA na VITA.
Kama tunashindwa kuzalisha Chakula chetu tunategemea Msaada kutoka Ulaya kweli tuna UMOJA WA KUJIVUNIA?
Vita kama Mali na Somalia tunahitaji Msaada kutoka Ulaya,sisi hatuna mipango yetu ya Ulinzi?Ukiangalia Nchi ya Mali mpaka WaFaransa wakasaidia Rais wa Mali anafanya nini?
Asanteni.
Thursday, 16 May 2013
MAFUTA YALITUMIKA KUKAANGA CHIPS YANAVYOTUMIKA TENA KAMA DIESEL KWENYE MAGARI.JE WAJUA?MAFUTA HAYO YALIKWISHA TUMIKA YANATUMIKA PIA KWA KUTENGENEZEA VYAKULA TENA VYA MIFUGO.HAKUNA KITU CHA KUTUPA TENA.
Leo nimekutna na Kampuni inayofuatilia na kununua Mafuta Machafu yaliyotumika kukaangia Chips,maandazi na Samaki.Picha hii juu inaonyesha mafuta yaliyotumika yakiwa kwenye Magaloni baada ya kutolewa kwenye vikaangio.
Gari linalokusanya hayo mafuta kila galoni ni sh 2600.
Gari likiendelea kupakia mafuta hayo kutoka kwenye Hotel inayohudumia watu 400 kwa siku kwa Vyakula mbalimbali.
Hii ni sehemu ya kuhifadhi mafuta yaliyotumika kuna tanki la kuhifadhi lita 700.
Saturday, 11 May 2013
BRITAIN'S GOT TALENT LEO WAPATA WATANZANIA MAMA NA MWANA WANAJIHITA TANZIE SHAKERS WAJITAMBULISHA NI KUTOKA TANZANIA.
Mama na Mwana wakiwa katika mashindano ya kutafuta mwenye kipaji wakiojiwa na Mtangazaji wa ITV baada kupita hatua ya kwanza.
Mama hapo akimchezea Jaji Simon kiuno kata,iliwafurahisha sana watazamaji walishangilia sana.
Jaji Simon aliwakubali
Akipokea kura kutoka kwa majaji.Majina yao sijapata nawatafuta,ila wanajihita TANZIE shakers.
Mama hapo akimchezea Jaji Simon kiuno kata,iliwafurahisha sana watazamaji walishangilia sana.
Jaji Simon aliwakubali
Jaji Elisha naye aliwakubali
Thursday, 9 May 2013
Monday, 6 May 2013
UJUMBE USALAMA WA NCHI YETU UPO HATARINI-DALILI YA MVUA NI MAWINGU
MAONI-
Ninapenda kuongelea suala la Ulinzi kwa Taifa letu ambalo tunajivunia Amani lakini Nchi yetu haina Amani kama tunavyojivunia sisi wananchi.Ukianzia na mauaji ya watumishi wa Makanisa na Misikitini.
Nchi yetu iliishapewa taarifa na Wamarekani ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa Nchi kushambuliwa na Magaidi.
Ujumbe huo nafikiri ulikuwa na umuhimu kwa Taifa letu kuwa makini na nyendo za baadhi au vikundi vya watu wanaonekana kuwa tishio kwa Taifa letu.
Tuanze kuangalia kazi ya USALAMA WA TAIFA nini?kuna siku wabunge waliuliza kazi ya usalama wa Taifa ikawa kama ni kuingilia au kutafuta udadisi husio na maana.Sasa imefika wakati wa kufuatilia nyendo za Watu kwa kuangalia Mitandao yaani Mawasiliano yote yanasaidia kueneza na kujaribu kufanya kazi za kigaidi.
UJUMBE HUU KWA USALAMA WA NCHI YETU.

Subscribe to:
Posts (Atom)